Vituko/ Comedy

VideoFUPI: Saloon yabuni njia ya kuzichoma moto nywele badala ya kuzinyoa

on

Kila siku duniani vitu ambavyo vinastaajabisha na kushangaza vinazidi kuibuka, Leo January 13 2017 nimekutana hiki kipande cha video kutokea Saloon moja kwenye taifa la India ambapo kinyozi anatumia moto.

Kinyozi hatumii mashine wala mkasi kunyoa nywele za mteja wake bali huzipaka nywele hizo vitu ambavyo husaidia moto kuwaka na anawasha moto kwenye nywele halafu hutumia chanuo kuzichana huku moto ukiendelea mpaka pale moto unapozima na nywele za mtu huyo zinakuwa vizuri.

Bonyeza play kutazama video hii hapa chini, ukishaitazama usisahau kuniachia comment yako.

AyoTVMAGAZETI: Tuhuma za rushwa ajira 600 Dangote, Vigogo dawa za kulevya waja na mbinu mpya, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments