AyoTV

“Hili ni jambo la hatari, Serikali iangalie upya” -Zitto Kabwe (+Video)

on

January 31, 2018 Wabunge walikuwa wakijadili muswada wa sheria ya mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma wa mwaka 2017 (The Public Services Social Security Fund Bill, 2017) uliosomwa kwa mara ya pili, Kamati ya Bunge zima na mara ya  tatu  ambapo kati ya waliopata nafasi ya kuwasilisha mapendelezo yao ni pamoja na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe aliyeitaka Serikali kuufanyia mabadiliko kabla ya kuupitisha.

RC Gambo ametimiza ahadi yake leo

Soma na hizi

Tupia Comments