AyoTV

VIDEO: Sherehe za uhuru kufanyika Dodoma kuanzia mwakani, haya ni maoni ya wananchi DSM

on

Moja ya kitu alichozungumza Rais Magufuli kwenye sherehe za uhuru wa miaka 55 ni pamoja na kuwa sherehe hizo ndio zitakuwa za mwisho kufanyika jijini Dar es salaam nakuanzia mwakani zitafanyika makao makuu ya nchi Dodoma.

Ayo TV na millardayo.com imezungumza na baadhi ya wananchi ambao wametoa maoni kuhusu maamuzi hayo ya Rais Magufuli ambapo wamepongeza hatua hiyo japo wamesikitika kuwa watakosa tena kushuhudia sherehe hizo moja kwa moja. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Dakika 30 za Rais Magufuli kwenye sherehe za Uhuru DSM, Bonyeza play hapa chini Kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments