AyoTV

VIDEO: Imetajwa idadi ya wanaolipa kodi TRA kati ya Watanzania mil 45

on

Kama unakumbuka Serikali ya awamu ya tano ilianza kwa kampeni ya “dai risiti” unaponunua bidhaa na hata wafanyabiashara ambao walikuwa wanakwepa kulipa kodi nao walibanwa ili kulipa na ambao hawakufanya hivyo walifikishwa mahakamani

Leo Kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania ‘TRA’, Alphayo Kidata ameeleza kuwa kuna watanzania milioni tatu tu wanaolipa kodi kati ya Watanzania wanaokadiriwa kuwa milioni 45.

VIDEO: Kesi za dawa za kulevya alizozipokea mkemia mkuu mwaka 2017 , Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments