Baada ya Serikali ya Tanzania kupiga marufuku pombe za viroba, AyoTV na millardayo.com imempata mmoja wa wamiliki wa kiwanda cha kutengenezea pombe hizo ambapo amekanusha taarifa za kampuni yake kufungua kesi mahakamani kupinga marufuku iliyotolewa na Serikali, Kingine alichozungumza ni pamoja na mbadala wa vifungashio vya viroba utakaokuja na bei zake zitakavyokuwa. Bonyeza play hapa chini kutazama
VIDEO: Serikali kuhusu operesheni ya kukamata pombe aina ya viroba, Bonyeza play hapa chini kutazama
Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter Instagram YouTUBE.