AyoTV

VIDEO: Baada ya marufuku ya pombe za viroba, muundo mpya utakaokuja na bei zake

on

Baada ya Serikali ya Tanzania kupiga marufuku pombe za viroba, AyoTV  na millardayo.com imempata mmoja wa wamiliki wa kiwanda cha kutengenezea pombe hizo ambapo amekanusha taarifa za kampuni yake kufungua kesi mahakamani kupinga marufuku iliyotolewa na Serikali, Kingine alichozungumza ni pamoja na mbadala wa vifungashio vya viroba utakaokuja na bei zake zitakavyokuwa. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Serikali kuhusu operesheni ya kukamata pombe aina ya viroba, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments