Mix

SERIKALI: ‘Hakuna mahali JPM amekataa kutekeleza ongezeko la mishahara’

on

Baada ya TUCTA kudai na kulaani kauli inayodaiwa kuwa ni ya Rais Magufuli kwenye mkutano wa ALAT kuwa hatapandisha mishahara ya watumishi wa umma leo October 13, 2017 Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbass ameketi mbele ya Waandishi kutoa ufafanuzi wa ishu mbalimbali kwenye utumishi wa umma.

Katika ufafanuzi wake amesema kuwa hakuna mahali Rais Magufuli amekataa kupandisha mishahara ya watumishi wa umma zaidi ya kujibu hoja mahususi ya posho za madiwani, Bonyeza play hapa chini kuitazama hii video

Tupia Comments