Top Stories

FULL VIDEO: Tundu Lissu afichua kilichochelewesha Bombadier kufika

on

Leo August 18 2017 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu leo amekutana na wanahabari ili kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo ishu ya ndege ya Bombadier iliyotarajiwa kufika nchini mwezi uliopita.

Lissu amedai ndege hiyo imekamatwa na inashikiliwa na kampuni ambayo inaidai Serikali ya Tanzania, Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: Tundu Lissu adai kufuatwa na usalama kila anapokwenda, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments