Nyumba/ Mijumba

VIDEO &PICHA : List ya vivutio vilivyotengenezwa kwa gharama kubwa zaidi Duniani

on

Nchi nyingi Duniani zimejikita kutengeneza vivutio mbalimbali vya gharama zaidi ili kuwavutia watalii na kupendezesha maeneo au miji yao. Vivutio hivi vinajengwa kama alama ya eneo au mji. Leo December 12 2016 nimekutana na hii list ya Vivutio vilivyotengenezwa kwa gharama kubwa zaidi duniani. 

 10. Walt Disney World Florida, USA ($3.85 billion)

10

9. The Cosmopolitan, USA ($4.27 billion)

8. Disneyland, France ($5 billion)

8

7. Pyramid of Giza, Egypt ($5 billion)

7

6. Disneyland, China ($5.5 billion)

5. Marina Bay Sands, Singapore ($6 billion)

5

4. Resorts World Sentosa, Singapore ($7.22 billion)

4

3. Palm Island, Dubai ($14 billion)

2. Taj Mahal, India ($25 billion)

2

1.Ukuta mkubwa wa China ($260 billion)

great-wall-of-china-1

Bonyeza play hapa chini kutazama vivutio vilivyotengenezwa kwa gharama kubwa zaidi duniani

AyoTVMAGAZETI: Mikoa minane hatari kuishi, Panga latua wanufaika ‘dili’ watumishi hewa, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments