AyoTV

VIDEO: Lissu kaeleza mipango ya CHADEMA kwenye kesi za mbunge Lema

on

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye yuko mahabusu kwa takribani miezi miwili baada ya kukosa dhamana mara kadhaa kwenye kesi inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi kwa viongozi wa nchi akiwemo Rais.

January 14 2017 Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kupitia kwa mwanasheria wake mkuu, Tundu Lissu akiwa Arusha ameyasema haya…….

‘Kuanzia sasa tutaongeza nguvu kubwa ya uwakilishi wa Lema mahakamani na tutafanya hivi kwa kuhakikisha kwamba kwenye kesi za Lema mawakili wote wa chama wanakuja Arusha kuongeza nguvu kwenye kesi za Lema’

ULIKOSA? Maneno ya Lissu kuhusu Mbunge Lema aliyeko mahabusu, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments