Habari za Mastaa

BSS imerudi tena 2019, Madam Ritha katangaza haya (+video)

on

Leo September 17, 2019 Madam Ritha amezindua rasmi msimu mpya wa Bongo Star Search na msimu huu ukiwa ni msimu wa kumi tangu mashindano haya ya kusaka vipaji yalipoanzishwa,  msimu huu umezinduliwa na kuambatana na utambulisho wa majaji wapya waliongezwa ambao ni msanii mkongwe Dully Sykes, Lady Jaydee huku host akiwa ni mchekeshaji Idris Sultan.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

VIDEO: SALAMA KAPIGWA CHINI BSS..? MADAM RITHA KAZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments