AyoTV

AyoTV: Kutana na Mbunge mpya wa CCM aliyetangaza kuzikataa milioni 200.

on

Bunge la kumi na moja linatarajiwa kuchukua headlines January 2016 ambapo kabla hatujazifikia hizo headlines za January, leo November 24 2015 Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu ametangaza hataki posho za kukaa bungeni, maamuzi yake yametokana na nini? mengine je? bonyeza play umtazame kwenye hii video hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments