AyoTV

“Ukweli utaliweka huru taifa hili, Serikali inaona kigugumizi” –Mbunge Devotha Minja

on

Ni headline kutokea Bungeni Dodoma ambapo leo February 7, 2017 Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao katika taarifa mbili zilizowasilishwa ikiwemo huduma za maendeleo ya jamii pamoja na taarifa ya Bunge masuala ya UKIMWI ambapo Mbunge wa viti maalum CHADEMA Devotha Minja alikuwa miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ambaye alihoji baadhi ya hatua zinazochukuliwa na Serikali huku zikiwaumiza wananchi.

“Kwenye hili tunakaribisha rushwa” -Mbunge Aeshi

Soma na hizi

Tupia Comments