Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hii ndio sababu ya kwa nini ushindi wa Simba ni mafanikio kwa Tanzania
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Hii ndio sababu ya kwa nini ushindi wa Simba ni mafanikio kwa Tanzania
Sports

Hii ndio sababu ya kwa nini ushindi wa Simba ni mafanikio kwa Tanzania

March 18, 2019
Share
3 Min Read
SHARE

Mafanikio ya Simba kwenye Ligi ya Mabingwa, yameinyanyua Tanzania hadi nafasi ya 12, ambayo ndiyo ya mwisho katika orodha ya nchi zinazopewa nafasi 4 katika mashindano ya Afrika…ahsante Mungu!

Kabla ya msimu huu, Tanzania ilikuwa nafasi ya 26 na pointi zake 3 zilizotokana na Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho, 2016 na 2018.
Kufuzu kwa Simba robo fainali msimu huu, kumeipatia nchi yetu pointi 15 ambazo zikichanganywa na zile 3 za Yanga, tunakuwa na pointi 18!

POINTI
CAF hupima viwango vya nchi kupitia mafanikio ya vilabu vyake, kwenye mashindano ya Afrika, kwa kipindi cha miaka mitano. Viwango vipya vitakavyotoka vikijumuisha mafanikio ya Simba 2018/19, vitaanzia 2015, Mwaka wa karibuni zaidi huwa na thamani kubwa zaidi (maksi 5) kuliko mwaka wa nyuma zaidi (maksi 1). Thamani ya mwaka wa mashindano huzidishwa na pointi ambazo klabu huzipata kutokana na mafanikio yake kwenye mashindano husika, na kuwa pointi za nchi.

KOMBE LA SHIRIKISHO
Klabu itakayoshika nafasi ya 4 kwenye makundi, hupewa pointi 0.5. Nafasi ya 3, pointi 1, robo fainali, pointi 2…bingwa pointi 5, Yanga ilifuzu hatua ya makundi mwaka 2016 na 2018, na kumaliza ya 4 mara zote mbili, Thamani ya mwaka 2016 ni maksi 2, maana yake ni 0.5 × 2 = 1. Thamani ya mwaka 2018 ni maksi 4, maana yake ni 0.5 × 4 = 2, Kwa hiyo Tanzania ilivuna pointi 3 kutokana na mafanikio ya Yanga, 2016 na 2018!

LIGI YA MABINGWA

Kufuzu makundi tu ni pointi 0.5 na kufika robo fainali ni pointi 3. Simba imefika robo fainali 2018/19 ambao thamani yake ni maksi 5. Maana yake ni 3×5=15, Pointi hizi 15 zikijumlishwa na zile 3 za Yanga, Tanzania inakuwa na pointi 18. TUMETUSUA!

Hata hivyo, pointi hizi zitaingia kwenye mahesabu kuanzia msimu ujao kwa ajili ya matumizi ya msimu wa mbele yake, yaani 2020/2021, Hakuna uwezekano wa pointi zetu kuvukwa na nchi nyingine kwa sababu walio chini yetu hawana timu zilizopo kwenye mashindano.

Pia ukiangalia hapo kwenye mchoro, utaona pointi zetu zimewekewa alama ya ≥…hii ina maana kwamba zinaweza kuongezeka, endapo Simba watasonga mbele zaidi.

2020/21 tutaingiza timu 4….TUMETUSUA!

IMEANDIKWA: Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi)

Mashabiki wa Simba na Yanga waiongelea Simba VS AS Vita hapo kesho !!

You Might Also Like

Samatta amerejea KRC Genk ya Ubelgiji

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA March 18, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Joseph Kusaga katangaza kutoa tiketi 100 kwa watanzania kuisapoti Taifa Stars
Next Article VIDEO: ‘Siwezi kujichubua huo muda sina, Bongomovie wakongwe wanasumbua sana location’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022

You Might also Like

Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

August 17, 2022
Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

August 13, 2022
MixTop Stories

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

August 11, 2022
Mix

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?