AyoTV

VIDEO: Zahera kawatoa hofu, Matokeo anaenda kupindua Zambia

on

Wakati kukiwa na wimbi la baadhi ya watu wakiamini kuwa ndio safari ya Yanga katika michuano ya CAF Champions League msimu wa 2019/2020 kutokana na kutoka sare ya kufungana goli 1-1, hivyo wengi walikuwa wanasema ndio safari imeisha kama Yanga amekosa kuutumia uwanja wake.

Mawazo hayo yamekuwa na mashiko lakini kocha mkuwa wa Yanga Mwinyi Zahera, amewatoa hofu mashabiki na kuahidi kuwa Yanga inafanya vizuri ugenini zaidi ya nyumbani, hivyo kwa sasa anaamini hawezi kwenda Zambia bila kufunga goli hata moja.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments