AyoTV

VIDEO: Kocha wa Mtibwa Sugar mbele ya waandishi “Simba walitunyima uhuru”

on

Kocha mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar Zuberi Katwila timu yake ikiwa imepoteza michezo miwili ya mwanzo ya Ligi Kuu Tanzania bara, leo ameongea na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Simba SC waliyopoteza kwa magoli 2-1.

Katwila ameeleza kuwa Simba SC ina kikosi bora lakini walipata wakati mgumu katika mchezo huo, kwani Simba SC iliwanyika uhuru katika mchezo huo na kujikuta wakifungwa 2-1 na kuanza safari ya Morogoro kujipanga upya.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments