Habari za Mastaa

Tunda kuolewa hivi karibuni?/ Millard Ayo kujifunza Marekani

on

Kutana na baadhi ya stories ambazo zimechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mastaa mbalimbali ikiwemo video vixen maarufu nchini Tunda kuchumbiwa hii ni baada ya video aliyoipost Shilole kupitia ukurasa wake wa instagram kumuonyesha akiwa na pete kidoleni.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

ALIYEMTOA HAMISA KIMUZIKI, KAWEKA WAZI CHANZO CHA KUPISHANA “KAONA KAFANIKIWA”

Soma na hizi

Tupia Comments