Video Mpya

VideoMPYA: Kwenye game ya Gospel huyu hapa Paschal Cassian akisema ‘Turudi’

on

Mwimbaji wa Gospel Paschal Cassian ambaye alikuwa mshindi wa Bongo Star Search mwaka 2009 ameamua kuileta ‘Turudi’ baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu akiwa anasumbuliwa na maradhi, bonyeza PLAY hapa chini kutazama kazi mpya.

VIDEO: BIFU!! AMBER LULU NA HAITHAM WATIBUANA, ADAIWA KUIBA MUME

Soma na hizi

Tupia Comments