AyoTV

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba bungeni kuhusu Jeshi la Polisi kukamata watu

on

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi wa swali la mbunge wa viti maalum CHADEMA Susan Maselle aliyehoji hatua za serikali kuhusu baadhi ya wanajeshi kuwabambikia kesi wananchi na tuhuma za polisi kuwaweka viongozi wa dini na siasa mahabusu kwa muda mrefu.

Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni, miongozo na taratibu. Wale wanaobainika kukiuka maadili ya jeshi huchukuliwa hatua kwa kuwapa adhabu mbalimbali ikiwemo kuwafukuza kazi‘ –Waziri Nchemba

Mtu yeyote anayeona kuwa anaonewa anapaswa kuwasilisha malalamiko yake katika vyombo vya kisheria pindi anapoona hatendewi haki kutoka kwa Polisi kwa mujibu wa sheria za nchi‘ –Waziri Nchemba

ULIMIS  MANENO YA MWIGULU KWA WANAOSEMA RAIS MAGUFULI NI DIKTETA

Soma na hizi

Tupia Comments