Habari za Mastaa

Ali Kiba aliendeleza hivi burudani ya #CHEKETOUR ndani ya Dar Live.. (PICHAZ)

on

IMG_6883

Mwanadaresalaam ulikuwa sehemu ya hawa waliokuwa DAR LIVE Mbagala jana? Kama uliikosa basi huenda umekosa tukio la kihistoria mtu wangu.. kwa mara kwanza Ali Kiba amefanya BONGE la show, ilikuwa LIVE kwenye stage, #ChekeTour ndio habari yenyewe yani.

Usipitwe kabisa mtu wangu, sehemu ya burudani hiyo unaweza kuiona kwenye hizi PICHAZ 16..
IMG_6736

IMG_6751

Hapa nd’o kwanza Ali Kiba alikuwa anaingia DAR LIVE, yuko na Abdu Kiba na fans pia.

IMG_6755

Abdu na Ali Kiba.. Unaweza kuwaita Kiba Square yani.

IMG_6759

Wastara, Rehema na rafiki yao.. Nao walikuwepo DAR LIVE

IMG_6771

IMG_6807

Mashambulizi ya Abdu na Ali Kiba yalianza hivi..

IMG_6811

IMG_6859

IMG_6867

Burudani inaendelea mtu wangu.

IMG_6881

IMG_6883

Mikono ya fans kwa mtu wao Ali Kiba..

IMG_6887

Support ya nguvu kutoka kwa LIVE BAND.

IMG_6886 IMG_6952 IMG_6957 IMG_6973

Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments