Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Alikiba kataja nchi atakayoanza nayo tour za nje kwa mwaka 2017

on

Muimbaji staa wa bongofleva Alikiba leo January 06 2017 ametumia ukurasa wake wa instagram kueleza mpango wake wa kuanza tour ya muziki nje ya nchi. Alikiba amesema kwa mwaka 2017 ataanza na Afrika kusini.

Post hiyo pia ilisindikizwa na maneno yaliyoashiria kuwa Alikiba ana mpango wa kufanya Tour kwenye mataifa mengi nje ya Afrika kwa mwaka 2017, kwa hiyo tutarejea atataja nchi nyingine ambazo atafanya tour hivi karibuni.

alikiba-4


Manager wa Alikiba pia, Seven Mosha alipost kuhusu tour  hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram

seven-mosha


Video: MTV EMA walivyoichukua tuzo ya msanii bora kwa Wizkid na kumpa Alikiba>>>

Video: MASHAMBULIZI YA ALIKIBA, BARAKA NA DIMPOZ AFTER SCHOOL BASH 2016>>>

Video: Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Music Festival>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments