Habari za Mastaa

Picha 20 za show ya Kiba Square ndani ya Maisha Club.

on

1kibaUsiku wa June 15 ni usiku uliowakutanisha ndugu wa damu ambao wanatokea kwenye kiwanda cha muziki tanzania Ally Kiba na Abdul Kiba ambao walifanya show ya pamoja.

Show ilitanguliwa na burudani kadhaa kutoka kwa chipukizi na ulipofika muda wa Ally Kiba na Abdul Kiba kuimba kila mtu ukumbini alikua na furaha,kikubwa wengi walitamani kumuona Ally kiba ambae hajaonekana kwenye majukwaa siku nyingi.

Walitumia zaidi ya saa moja kuperfoam nyimbo zao kwa pamoja na kisha wakaautambulisha wimbo wao mpya unaoitwa Pita Mbele ambao wanategemea kuutoa siku chache zijazo.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

50kiba

46kiba

41kiba

34kiba

35kiba

40kiba

28kiba

25kiba

24kiba

23kiba

22kiba

17kiba

16kiba

15kiba

14kiba

13kiba

12kiba

7kiba

1kiba

 

Tupia Comments