Kamishina mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA‘ Charles Kichele amefungua semina kwa wahasibu kutoka taasisi mbalimbali za Serikali.
Akifungua Semina hiyo amesema sasa ana ujasiri wa kujibu pale ambapo ataulizwa kuhusu kodi zinazokusanywa kuwa zinakwenda wapi? kwa kuwa kazi inayofanywa na Serikali kupitia kodi hizo inaonekana.
ULIIPATA HII YA TRA KUONGEA KUHUSU WANAOSAFIRI NA PESA KWENDA NJE YA TANZANIA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI