AyoTV

Dakika 12 za JK Comedian alivyowapatia Bi Kidude na Kingwendu Z’bar

on

Kwenye uzinduzi Green light Foundation JK Comedian alikuwa na kazi moja tu kuhakikisha anavunja mbavu za waalika kwa kicheko…kaigiza sauti za watu mbalimbali akiwepo Marehemu Bi. Kidude.

JK Comedian anaalikwa kwenye shughuli mbalimbali za kijamii ambapo huiga sauti za viongozi wa kisiasa, kidini na watangazaji maarufu na hapa ilikuwa kwenye utoaji wa zawadi kwa Wanafunzi waliofanya vizuri kwenye masomo ya Sayansi na kuigiza sauti za Hayati Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere, Rais Mstaafu JK, Rais Magufuli na huwaacha nyuma kwa sauti ya nguli wa taarab asili Hayati Bi Kidude na staa wa vichekesho Kingwendu.

ULIPITWA? JK Comedian alivyoigiza sauti za Mama Rwakatale, JPM kwenye tuzo za WASSA…tazama kwenye video hii!!!

Soma na hizi

Tupia Comments