AyoTV

‘Aliebakwa na kuuwawa ni mwingine sio mimi’ – Lilian

on

November 3 2016 zilisambaa stori za kuuwawa kwa mrembo Lilian ambaye ni miongoni mwa waliotokea kwenye video ya wimbo wa Diamond na Rayvanny ‘salome’

Ukweli ni kwamba Lilian sio Msichana aliyeuwawa, aliyeuwawa ni mwingine huko Arusha na Polisi wamethibitisha kuuwawa kwake baada ya kutoka kwenye birthday party, unaweza kumtazama Lilian kwenye hii video hapa chini.

VIDEO: ULIKOSA KUIONA NYUMBA YA DIAMOND AFRIKA KUSINI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments