Kifua kilimbana, akahamishiwa ICU, Ndugu/Mbowe ‘Membe ni muhimu kwa Taifa’

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe kilichotokea mapema leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam. Mbowe amesema “Membe aliitumikia Nchi yetu katika ngazi mbalimbali na alikuwa hazina muhimu kwa Taifa. “Raha … Continue reading Kifua kilimbana, akahamishiwa ICU, Ndugu/Mbowe ‘Membe ni muhimu kwa Taifa’