Ad
Ad

Top Stories

Kigwangalla ashauri mashine za nyungu ziondolewe Muhimbili

on

Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema Wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama Mbunge watalizungumza Bungeni ili kuanza kufuata njia za Kisayansi.

Amesema si sawa kwa Taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu. Ni muhimu watu kufuata hatua za afya kama kuvaa barakoa na mengineyo.

NISAMEHE, NIMEKUTEUA NIKIWA SIKUJUI, NI SIFA NDIO ZIMENIVUTIA KULIKO KUKUJUA” RAIS SAMIA

Soma na hizi

Tupia Comments