AyoTV

VIDEO: Muhudumu wa Bar aliyeimba mbele ya Waziri, hajaamini kilichotokea

on

Wanasema hakuna aijuae kesho, Ben ni kijana anaeamini anachokipaji cha kuimba lakini shida ilikua ni pa kutokea hivyo ikabidi ahamie Dar es salaam kutokea Arusha.

Cha kwanza alichofanya ni kuomba kazi ya Uhudumu Escape One, kiwanja ambacho alishasikia akiwa Arusha kwamba huwa Watu mbalimbali maarufu na Wadau wa muziki anaoamini wanaweza kumsaidia huwa wanahudhuria mara kwa mara

Hakujua kwamba usiku wa November 19 2016 ungekua wa tofauti kwake, tazama hii video hapa chini….

KWANINI ZITTO KABWE AMEGOMA KUPOST TOKA OCT 21?

Soma na hizi

Tupia Comments