Top Stories

Kijana adaiwa kuuawa kwenye ofisi ya mtendaji,DC aongea “aliburuzwa kwenye toyo”

on

Kijana Furahini Mbise mkazi wa kata ya maweni wilayani Arumeru mkoani Arusha amefariki kwa kudaiwa kuuawa kwenye ofisi ya mtendaji wa kata hiyo alipokwenda kwenye usuluhishi wa mgogoro uliokuwepo.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amesema taarifa za awali zinadai kwamba alijinyonga kwenye chumba cha pembeni kwenye ofisi za mtendaji na kuomba Ndugu kuwa wavumilivu wakati uchunguzi ukiendelea kufanyika.

WANAFUNZI WA DARASA LA TANO WATAJWA KUTUMIA BANGI NA MIRUNGI ARUSHA, MRATIBU AELEZA

Soma na hizi

Tupia Comments