Top Stories

Kijana aliekaa gerezani aapishwa kuwa Wakili, afunguka kilichomtokea (+video)

on

Deogratias Cosmath Manyira ni miongoni mwa mawakili 308 waliapishwa Julai 9 na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof.Ibrahim Juma.

Hadi kufikia hatua ya kuhitimu na kuwa Wakili kamili, amepitia changamoto mbalimbali ikiwemo kusota gerezani kwa siku 34 lakini akaachiwa siku 5 kabla ya kuanza kwa mitihani ya mwisho ya Uwakili.

 

Soma na hizi

Tupia Comments