Top Stories

Kijana aliezaliwa na jinsia ya kike baadae ya kiume ikaota asimulia (+video)

on

Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume zilizopelekea sehemu za kike kuzibwa, anaomba msaada wa fedha aende nje ya nchi kuongezwa ukubwa wa maumbile ya kiume, yatakayomwezesha kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto.

Kijana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sasa anavaa mavazi ya kiume na kutumia majina ya kiume aliyoyapata baada ya kula kiapo mahakamani baada ya kukana majina yake ya kike aliyopewa awali mara baada ya kuzaliwa, majina ambayo aliyatumia kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, na kusema anatamani kuoa na kupata watoto.

Soma na hizi

Tupia Comments