Polisi Mbeya wanawashikilia Viongozi wawili wa Kata ya Iganzo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya pamoja na Mwananchi mmoja kwa tuhuma za kumshambulia Kijana mmoja kwa kumtandika makonde ndani ya Ofisi ya Serikali wakimtuhumu kuwa amewapiga picha bila ridhaa.
UWOYA ALIVYOINGIA NA RANGE YAKE MPYA PARTY DIAMOND, MBWEMBWE ULINZI MKALI