Top Stories

Kijana atajirika kwa kuuza uume, korodani ni Milionea “wanagombania wengi hasa Wachina” (+video)

on

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Msemo huu unajidhihirisha baada ya kauli ya Onesmo Mbasha, ambaye ni mmoja wa vijana wanaouza bidhaa mbalimbali zitokanazo na wanyama zikiwamo sehemu za uzazi za ng’ombe dume zinazojumuisha uume na korodani.

Zipo taarifa kuwa viungo hivyo vya ng’ombe ni maalumu kwa ajili ya kutengenezea nyuzi zinazotumika kuwashonea watu waliopata ajali na chakula kinachotumika zaidi nchini China lakini pia hapa Tanzania baadhi ya watu hutumia kama dawa na wengine kuchemsha supu.

Soma na hizi

Tupia Comments