Top Stories

Kijana auawa na kutundikwa juu ya mti mkoani Arusha (video+)

on

Kijana aliyefahamika kwa jina la Benedict Robert mkazi wa kata ya sokone 11 wilayani Arumeru Mkoani Arusha ameuawa na watu wasiojulikana na kisha mwili wake kutundikwa juu ya mti.
Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio  kisha kuwachukua ndugu wa Marehemu wakasaidia upelelezi wa awali.
Ayo TV &  MIllardayo.com ilifika eneo hilo unaweza ukabonyeza play kutazama mwanzo mwisho.

CHUI ALIVYOINGIA GESTI NA HOSPITALI KUJERUHI WATU WANNE “ALIPIGWA RISASI 3”

Soma na hizi

Tupia Comments