Top Stories

Kijana auawa na tembo Arusha akitaka kumpiga picha nakumshika mkia

on

Kijana anayejulikana kwa jina la Long’ida Maeda mkazi wa kata ya mlangarini mkoani Arusha amefariki baada yakupigwa na tembo wakati akijaribu kumpiga picha tembo huyo aliyeingia kwenye makazi ya watu

Goodluck Lekajo mwenyekiti wa mtaa wa Korongoni palipotokea tukio amesema wanachi waliingia eneo la tukio ambapo kijana huyo alimsogelea tembo huyo kumpiga picha nakumshika mkia

TEMBO ALIYESABABISHA KIFO CHA KIJANA AULIWA “ALITAKA KUMPIGA PICHA”

Soma na hizi

Tupia Comments