Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea kumtafuta Kijana Lukumani Ally mwenye umri wa miaka 27 kwa tuhuma ya kumuua mama yake anayeitwa Sauda Mahamudu mwenye miaka 72 kwa kumkata na kitu chenye ncha kali katika paji la uso na kupelekea kifo chake.
Hapa tunaye Kaimu kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera Maketi Msangi anaeleza kwa kirefu juu ya tukio hilo.