Patric Laizer ni mwanafunzi mwenye miaka 18 anayesoma Mkoani Arusha ambaye kwa umri wake mdogo ameweza kuandaa kitabu chake cha Mathematics Game ambapo kina utaalamu wa masuala mbalimbali ya hesabu lakini pia ana uwezo wakukutajia namba yako ya simu baada yakujua namba zako kadhaa za mwanzo.