Top Stories

Kijana wa Kitanzania aunda mfumo wa gari wa kutumia gesi “gharama ni ndogo” (+video)

on

Baraka Majengo ni kijana wa Kitanzania aliyetengeneza mfumo wa kutumia gesi kwenye gari badala ya kutumia mafuta.

Baraka anasema kuna kifaa amekiweka kwenye gari ambacho unaweza kutumia Petrol au ukatumia gesi.

“Sasa hivi linatumia gesi hii inatumia system zote mbili na kuna switch nimeweka ambapo unaweza kutumia Petrol na inatumia gharama ndogo”-Baraka

DC ARUSHA AZOZANA NA AFISA ELIMU,AGOMEA MABWENI AAGIZA TAKUKURU ICHUNGUZE

Soma na hizi

Tupia Comments