Top Stories

Kijana wa Panya Road afunguka mbinu wanazozitumia Usiku ‘Tunatumia Mapanga’ (video+)

on

Ni Mei 7, 2022 ambapo Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar limewakamata vijana 31 wanaojihusisha na matukio ya kiuhalifu maarufu kama Panya Road.

Hapa tunae kijana anayetoka kwenye kikundi cha Uhalifu Panya Road akifunguka Mbinu wanazozituma nyakati za Usiku.

Tupia Comments