Top Stories

Kijiji wanachoishi mamba na binadamu, hucheza na kuwalisha bila woga (+video)

on

Dunia haiishiwi maajabu na vituko ngoja Leo August 11, 2020 nikupe hii nchini Burkina Faso kuna Kijiji kinaitwa Bazoulé, Kijiji pekee ambacho mamba huishi na binadamu kwa amani.

Mamba wote Kijijini hapo hutii chochote wanachoambiwa Wanakijiji wenye ujasiri hukaa juu ya mamba hao bila hofu, Mamba hawafanyi chochote kwa mtu yeyote.

Soma na hizi

Tupia Comments