Michezo

Kikeke: Samatta ni kweli yupo Uturuki

on

Mtangazaji wa Dira ya Dunia ya BBC Salim Kikeke amewasiliana na Mbwana Samatta ambaye ameeleza kweli yupo Uturuki lakini hajasaini Fenerbahce yupo kwenye mazungumzo.

”Nimechat na Captain Diego @Samagoal_77 amethibitisha yuko Uturuki na majadiliano yanafanyika lakini bado hajasaini”>>> Salim Kikeke

Samatta anaenda kwa mkopo Fenerbahce baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha Aston Villa ambapo kwa sasa wamesaini wachezaji watatu wapya katika nafasi yake, kocha Dean Smith wa Aston Villa alinukuliwa akisema Samatta alimuacha katika mchezo dhidi ya Sheffield sababu hakuwa fiti ni utaratibu wa kawaida.

Soma na hizi

Tupia Comments