Michezo

Kikosi cha Simba SC kilivyoingia kwa mkapa, kukipiga na TP Mazembe (video+)

on

Kikosi cha Simba SC kimewasili katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam tayari kucheza mechi ya kirafiki na TP Mazembe , ikiwa leo ni Simba Day.

UWANJA UMEJAA, MASHABIKI WA SIMBA WAOMBA KUONGEZEWA UWANJA “NIMEKOSA NAFASI”

Soma na hizi

Tupia Comments