Michezo

Kikosi cha TP Mazembe kilivyowasili nchini, kukipiga na Simba SC kesho

on

Kikosi cha Timu ya TP Mazembe kimeingia nchini Tanzania kwa kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Simba S.C katika siku ya Simba Day Septemba 19, 2021 utakaofanyika uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.
Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea stori kamili hapa unaweza ukabonyeza play

Soma na hizi

Tupia Comments