Michezo

Kikosi cha Wachezaji 22 wa Al Ahly wanaoifuata Simba SC

on

Kikosi cha Wachezaji 22 wa Club ya Al Ahly ya Misri ambao wako safarini kuja Tanzania kucheza dhidi ya Simba SC February 23 2021 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi.

Kundi A lina timu za Al Ahly anayeongoza kwa kuwa na point 3 na magoli matatu, Simba SC point tatu na goli moja, AS Vita nafasi ya tatu hana point ila amefungwa magoli machache na El Merreikh ya Sudan inashika mkiwa kwa kufungwa magoli mengi (3).

Soma na hizi

Tupia Comments