Baada ya kuwepo kwa hali ya sintofahamu nchini Guinea baada ya Jeshi kutangaza kuipindua Serikali na kumkamata Rais Alpha Conde, hatimaye majadiliano ya kuunda Serikali ya Mpito yameanza.
Kikosi kilichompindua Rais wa Guinea chaanza mazungumzo ya Serikali ya Mpito

Leave a comment
Leave a comment