Michezo

Hiki hapa kikosi cha Spain kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wa dunia

on

2011-11-12pregame02Jana tulishuhudia kikosi cha timu ya taifa ya England kikitangazwa kwa ajili ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil, leo hii kocha wa timu ya taifa ya Spain Vicente Del Bosque nae ametaja kikosi cha awali cha nchi hiyo kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wao wa dunia.

KIKOSI KIPO KAMA IFUATAVYO

Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli/ITA), David de Gea (Manchester United/ENG)

Defenders: Dani Carvajal, Sergio Ramos (both Real Madrid), Gerard Pique, Jordi Alba (both Barcelona), Cesar Azplicueta (Chelsea/ENG), Juanfran (Atletico Madrid), Javi Martinez (Bayern Munich/GER), Raul Albiol (Napoli/ITA), Alberto Moreno (Sevilla)

Midfielders: Sergio Busquets, Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Cesc Fabregas (all Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Ander Iturraspe (Athletic Bilbao), David Silva (Manchester City/ENG), Santi Cazorla (Arsenal/ENG), Koke (Atletico Madrid), Tiago Alcantara (Bayern Munich/GER), Juan Mata (Manchester United/ENG)

Forwards: Diego Costa, David Villa (both Atletico Madrid), Alvaro Negredo, Jesus Navas (both Manchester City), Pedro Rodriguez (Barcelona), Fernando Llorente (Juventus/ITA), Fernando Torres (Chelsea/ENG)

Tupia Comments