Michezo

Hiki ndio kikosi cha Yanga vs Al Ahly – fahamu nani kachukua nafasi ya Niyonzima

on

MBIOOOOHiki ndio kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Al Ahly – mechi itaanza muda wa 2:00 kamili usiku kwa muda wa Afrika Mashariki.

1: Deogratius Munish ‘Dida’
2: Mbuyu Twite
3: Oscar Joshua
4: Nadir Haroub 
5: Kelvin Yondan
6: Frank Domayo
7: Simon Msuva
8: Mrisho Ngassa
9: Didier Kavumbagu
10: Hamis Kiiza
11: Emmanuel Okwi

SUB
Juma Kaseja
Juma Abdul
David Luhende
Athuman Idd
Nizar Khalfan
Said Bahanuzi
Jerson Tegete

Tupia Comments