AyoTV

VIDEO: Dkt. Nchimbi, Ole Sendeka na wengine wakishukuru kwa kuteuliwa nafasi mbalimbali Serikalini

on

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo Decmber 13 2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha kawaida. Kikao hicho kimeongozwa na mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Magufuli

Kabla ya Mwenyekiti wa chama hicho, kuzungumza baadhi ya wajumbe ambao waliteuliwa katika nafasi za uongozi serikalini walipata nafasi ya kuzungumza na kutoa shukrani zao, yumo Christopher Ole Sendeka aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Njimbe, Dk. Emmanuel NChimbi aliyeteuliwa kuwa balozi, Bonyeza play hapa chini kutazama.

VIDEO: Vipaumbele 10 vya Mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli ndani ya CCM, Bonyeza play hapa chini kutazama 

VIDEO: Dakika 30 za Rais Magufuli kwenye sherehe za Uhuru DS, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments