AyoTV

VIDEO: Alichokiongea Salma Kikwete bungeni leo

on

Mkutano wa saba wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania umeendelea tena leo May 4, 2017 ambapo wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha  kwa maka 2017/2018 katika Wizara ya Afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ambapo Mbunge wa kuteuliwa Salma Kikwete ni miongoni wa waliosikika.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

VIDEO: ‘Lazima tufanye mabadiliko ya sheria’-Rose Tweve 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments