Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na mkewe, Mama Salma Kikwete wamehitimisha mapumziko ya mafupi ya mwisho wa mwaka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Katika mapumziko hayo, Kikwete na mkewe pia walipita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la Olduvai na Hifadhi ya Ngorongoro.